Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ndo maana nimeskip[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] we binamu hivi me na anko wako tukiachana na wewe ndio hao wa kusherehekea na kula pilau
Ndo maana nimeskip[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] we binamu hivi me na anko wako tukiachana na wewe ndio hao wa kusherehekea na kula pilau
Hata mie nashkuru kwa hili..[emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] bora umerudi salama
Baby achana nae kwanza tymekuja kuwasalimiaa tu ...unajua safar ilivotuchoshaaAiseeee ujue we ndio unasababisha me napotea humu kapuku binamu [emoji41] ili ufurahi
Halimpati mwewe..Dua la kuku hlo
♂♂♂♂♂Maka za wewe miss u jaman huko ulikotekwa ni kwema jamaan
Najua umechokaa na safar ...ila ngoja tujitahd tuwemo jukwaanNawasalimia tu mimi jamaan katika jina la Bwana Yesu kristo [emoji7][emoji7]
Nashkuru saana..Nami sijambo kabisaaa
Kwemaaa??Mkuu.
Niajeee mkuuKwa nyuma kama kilimanjaro vile..
Husna muba.. kuna mwingine zaid yake..Akina nani tena hao... Mimi siku mbili hizi nipo nipo tu unajua.
Safi namshkuru mwenyezj mungu..Ai
Aisee safi kabisa Ndugu , mishe nn
Hivi binamu yako ananitafuta nini mimiBinamu hizo kesiii hizo au inajifanya ya J sijayasikiaa
Kweli baba d ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NzuriiiiKwema mkuu..
Za Duniani?