Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hahah, kuna msemo kuwa mja haachi asili, bado unakuhusu?...zimefika. Ngoja nikwambie kitu kuhusu mama mchuchu, ila asijue Husna maana sitaki kuachika.
huyu mama mchuchu , mimi nilikuwa sipindui kwake yaani najua kabisa ameolewa na jamaa mmoja mkongo werrason lakini mimi kama mbwa kwa chatu nikawa namkomalia basi hata awe ananitumia maua tu lakini wapi.
Nikaugua akasema atakuja kuniona, ilikuwa mbinu yangu aje mwenyewe lakini watu wabaya humu, wakajitokeza wadau eti kumsindikiza, nikaona isiwe nongwa nikatangaza nimepona ugonjwa wasije.
Nikapanga safari ya mimi kumtembelea, yaani natoka mtwara kuja kigamboni , safari ikaratibiwa na aunt yangu Shunie , nisindikizwe na Tumosa mara hamadiii, nikaingiza habari za wahamiaji haramu na makinikia ya anko wangu lee empire , safari ikapigwa chini.
Nimeona nikueleze tu maana wote humu wanajua
![]()
...zimefika. Ngoja nikwambie kitu kuhusu mama mchuchu, ila asijue Husna maana sitaki kuachika.
huyu mama mchuchu , mimi nilikuwa sipindui kwake yaani najua kabisa ameolewa na jamaa mmoja mkongo werrason lakini mimi kama mbwa kwa chatu nikawa namkomalia basi hata awe ananitumia maua tu lakini wapi.
Nikaugua akasema atakuja kuniona, ilikuwa mbinu yangu aje mwenyewe lakini watu wabaya humu, wakajitokeza wadau eti kumsindikiza, nikaona isiwe nongwa nikatangaza nimepona ugonjwa wasije.
Nikapanga safari ya mimi kumtembelea, yaani natoka mtwara kuja kigamboni , safari ikaratibiwa na aunt yangu Shunie , nisindikizwe na Tumosa mara hamadiii, nikaingiza habari za wahamiaji haramu na makinikia ya anko wangu lee empire , safari ikapigwa chini.
Nimeona nikueleze tu maana wote humu wanajua
![]()

Morning Mond
Safi namshukuru, vip ww
Hahah, kuna msemo kuwa mja haachi asili, bado unakuhusu?
Alafu mkongo itakua alikamatwa na uhamiaji karudushwa kwao zaire, maana haonekani
Nadhani hii itakua ni habari njema kwako Obe 🙂🙂🙂
Yupi huyo..hivi na shemu wetu uliondokanae
Werrason kafia wapiHahah, kuna msemo kuwa mja haachi asili, bado unakuhusu?
Alafu mkongo itakua alikamatwa na uhamiaji karudushwa kwao zaire, maana haonekani
Nadhani hii itakua ni habari njema kwako Obe 🙂🙂🙂
Husna akijua je.....zimefika. Ngoja nikwambie kitu kuhusu mama mchuchu, ila asijue Husna maana sitaki kuachika.
huyu mama mchuchu , mimi nilikuwa sipindui kwake yaani najua kabisa ameolewa na jamaa mmoja mkongo werrason lakini mimi kama mbwa kwa chatu nikawa namkomalia basi hata awe ananitumia maua tu lakini wapi.
Nikaugua akasema atakuja kuniona, ilikuwa mbinu yangu aje mwenyewe lakini watu wabaya humu, wakajitokeza wadau eti kumsindikiza, nikaona isiwe nongwa nikatangaza nimepona ugonjwa wasije.
Nikapanga safari ya mimi kumtembelea, yaani natoka mtwara kuja kigamboni , safari ikaratibiwa na aunt yangu Shunie , nisindikizwe na Tumosa mara hamadiii, nikaingiza habari za wahamiaji haramu na makinikia ya anko wangu lee empire , safari ikapigwa chini.
Nimeona nikueleze tu maana wote humu wanajua
![]()
Sina mkuuSafi kabisa.shemeji hajambooo..
Kwa kwakwaHa hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo

Sina mkuu
Hope uko pouwa
Husna akijua je..
Mimeipenda avatar yako tumomoo..
Mimeipenda avatar yako tumomoo..
safi luvCjambo hbr ya shughuli
Poa za weweMpeeeenziii mamboo..