heshima yako....you know, I was like, seriously! Nikajiona ninakuwa staba au vipi.
Anyway, najua akitaka kuniharibia siku huwa anakimbilia gear hiyo.
Ha hanahahajajaj
vipi kaveli.? UpoMgawe hata kwa senti mbili..
Aku...Tuna mgeni humu anaitwa moneytalk changamkia fursa
habari za wikendAmani ya yy aliyeweza kutufikisha asubuhi hii tukiwa wazima wa Afyaa aifanye siku yako kua njema..
Good morning Brothers & Sisters..
Haya naacha ndugu yangundio acha
Morning kakaMorning all kapuku
Na wewe pia my loveWakuu.
Muwe na Ijumaa njema
habari za wikend
heshima yako
Ubarikiwe..ISAYA 41
6.Wakasaidiana ,kila mtu na mwenzake ,kila mtu akamwambia ndugu yake UWE NA MOYO MKUU.
ASANTE BABA KWA NENO LA ASUBUHI TUFUNDISHE KUWAPENDA WENZETU NA KUWATIA MOYO KATIKA ULIMWENGU HUU WENYE CHANGAMOTO NYINGI.....
SIKU NJEMA MAKAPUKU..NAWAPENDA MJUE![]()
![]()
![]()
MUWE NA MOYO MKUU...
![]()
Shukran kakaView attachment 593307Asubuhi njema makapuku wote
Amen, Asante mama mchungaji kwa nenoISAYA 41
6.Wakasaidiana ,kila mtu na mwenzake ,kila mtu akamwambia ndugu yake UWE NA MOYO MKUU.
ASANTE BABA KWA NENO LA ASUBUHI TUFUNDISHE KUWAPENDA WENZETU NA KUWATIA MOYO KATIKA ULIMWENGU HUU WENYE CHANGAMOTO NYINGI.....
SIKU NJEMA MAKAPUKU..NAWAPENDA MJUE![]()
![]()
![]()
MUWE NA MOYO MKUU...
![]()
Asante mama mchungajiUbarikiwe
Huo ndio ujentlomani...Babe...
Nimekutengea maji bafuni tayari
shululu asante sana kwa magazeti.
Asante BlessedHope kuanzisha furahiday hii kwa sala na nukuu za biblia.
Tuwe na Ijumaa njema Makapuku wote.
,.afu Tumosa jana umeniita 'mkuu' , nilikuangalia tu, nikajua labda ulikuwa kwenye promotion ya bia mpya. Iwe na furahiday njema

Na kwako pia nduguWakuu.
Muwe na Ijumaa njema