Anaweza akapiga pesa ndefu maana naskia vijana siku hizi ndio kimbilio lao..[emoji23] [emoji23]Ha hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo
Sina goma mkuu..Anaitwa nani..
Teh teh teh......unawajua Waha wewe? Hawa ni mchanganyiko wa Wabembe na Warundi, vita yake mimi ndo ntapoteza maana ni kama wamang'ati na walyanchoka wakipandisha mizuka.
...endelea kumuombea rais, usiniombee mimi kabisa Husna ajue
Una(peter) tu, na john je!?Mmmh napita tu [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tumosa umeona mambo hayo.. halaf we unaniambia sijui mgeni..I miss you ma love..
Duh.. umechelewa kuna nguna dagaaJamani njaaaa , mwenye chai alete hapa[emoji51][emoji51][emoji51][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji58]
Mie mambo hayo mama kanikataza..ahh, kumbe ulikua hujapata jiko na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..,....,sijafikiria unavyofikiri hakyanani tena! Ila nilijishangaa kuwa wa mwisho kujua mondray ndo Gentries
Vinginevyo kama unafikiri nilivyofikiri kuwa ndivyo basi bora iwe hivyo na inapendeza
Asante wa mimiSawa babu ubarikiwe
Na wewe piaSawa babu ubarikiwe
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Nko poa mie ni mke wa ShululuMamboo shemeji wa shululu..
AsanteMimeipenda avatar yako tumomoo..
[emoji120] [emoji120] [emoji120]safi luv
Shemela anajilalamisha sanaTumosa tumosa tumosa, mara ngapi hiyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hyo kazi yke yy nimemsaidia tuuukumbe ndo zake eeeh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]So do i, miss u too