Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
....akichoka kula papa unampa nguru au unamgeuza vegetarian unamchumia mboga mboga?
...kwanza sijui nimeandika nini, hivi mnapeana nini?
![]()

...ajiue wapi? Namjua mjomba wangu mimi, wakishazika tu kesho anapeleka taarifa bomani ya kufunga ndoa. Anko wangu ni bingwa wa kuyatia majaribu ili asiingie majaribuni





we binamu hivi me na anko wako tukiachana na wewe ndio hao wa kusherehekea na kula pilau
Aiseeee ujue we ndio unasababisha me napotea humu kapuku binamuAnko, hata sielewi kwanini tunapishana sana wiki hii wakati njia yetu ni moja.
Nway, michakato imepungua kidogo au ndo kwanza Hamisa Mabeto kakuvalia kimini?
ili ufurahi
Hasaaaaa![]()
![]()




woyoooooo mama akee shunie jamaan nilikumiss mama pande hizi hivi binamu ndio kakununulia ile simu mama
Binamu santeeeeMuziki: Kipenda Roho
Ninakusalimia kapuku mheshimika, yes, wewe tunayeheshimiana sana maana wote tuko kwenye boti moja. Aliyekaa mbele na aliyechagua siti ya mwisho kabisa wote tutafika pamoja. sema nini ujue, wenye kushuka, alokaa mbele ndo hutangulia. na kutokana na sababu hii, kwenye hafla iwe ya kufurahia au msiba huwa sikai siti za mwisho, maana huchelewi kukuta vipande vya matikitimaji na toothpicks tu. Jitahidi uwe unakaa mbele, ila sio mbele sana maana siti za mbele zina watu wao.
mara chache sana huwa inatokea nakuja kuambia 'mzee Obe' karibu siti yako iko kiti cha safu ya mwanzo kabisa, nami naamka natingisha mkono kuangalia saa kama inasoma majira kiusahihi na kubeba samsung galaxy yangu toleo jipya basi najisogeza kuungana na Makapuku wengine walio safu ya mbele kabisa. Leo nasema tu kipenda roho husema hula nyama mbichi, sasa najiuliza, kipenda mwili hula mbogamboga au.
muziki sasa, alivuma na hajawahi kuchosha kuangalia



Babu shikamooMtoto anaendeleaje?
Maka za wewe miss u jaman huko ulikotekwa ni kwema jamaanTuko poa.. vip ww bibie
Mkuu.Wakuuu
Baba D alichukua simu yangu za wewe TUlikuwa wapi lakini?
Nisalimie kwanza...
Kwa nyuma kama kilimanjaro vile....moja ya vivutio vilivyoko katika nchi hii ambayo nayo kama Rwanda ilikumbwa na mauaji ya halaiki na inakadiliwa watu 1.5 milioni walipoteza maisha
![]()
Binamu hizo kesiii hizo au inajifanya ya J sijayasikiaaAnko, hata sielewi kwanini tunapishana sana wiki hii wakati njia yetu ni moja.
Nway, michakato imepungua kidogo au ndo kwanza Hamisa Mabeto kakuvalia kimini?
Napita tuu njia.. shemeji kunyoosha miguu.Safari ya wap
Unafukuaa makabur au