Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mkataa kwao mtumwa jaman mke mweeNa ww kwa kushadadia sasa
Mkataa kwao mtumwa jaman mke mweeNa ww kwa kushadadia sasa
Shunie ni bonge la rafiki kwangu mkuu.Aiseee nipo broh naona upo na shem..
Hahahaaaa....Woooooozaaaa sio mambo ya wolper![]()
Shunie ni bonge la rafiki kwangu mkuu.
Tunapiga stori tuu 2 ,3 hivi
Mimi nipo sanaMbona mnaondoka sasa mm ndo naingia..
Mashemeji nawaona nawaonaMkataa kwao mtumwa jaman mke mwee
Na ww kwa kushadadia sasa
Nimeambiwa unaniita... what went wrong?
Binamu yangu mie asante sana ila sijakuzoea hivi ujue nimezoea maneno mengi nakupenda binamu
Kesho naamsha popo kwenda moshi mkuu.
Ule msiba wa watu 13 umepita na mtu wangu mkuu.
Thats why nitarudi after a week.
Asante kakajapo sijui huo msiba wa watu 13 , lakini pokea salamu zangu za pole
Pole sana mdau! Mfutwe machozi na Yeye aliye juu
Tatizo ni pale unapotangulia kufa wewe..
So yeye atajiua ama?
Woyoooooooooooooooo nampa papa![]()
![]()
aseme nimpatie kampe shemela wangu mie sawa sawa mke mwee
Muwe na ucku mwema wapendwa,kesho nayo ni cku
Mmhhh... what is WhatsApp by the way?
Naona anapenda kuishi jirani na pubYuko mwanjelwa,city pub
Sawa dadakeeNimefurahi tu kaka jaman ukikutana na T msalimie sana
Hahaha...Naona anapenda kuishi jirani na pub