Bomu la nyuklia ni bomu baya mno
Ndilo bomu linaloongoza kuwa na mlipuko mkubwa kuliko mabomu mengine
Sote tunakumbuka kilichotokea katika mji wa hiroshima Japani wakati Wamarekani walipolitumia
Mpaka leo Wajapani hawataki kujiingiza katika vita kabisa na kama taifa walisaini mkataba wa kutoiingiza nchi katika vita tangu wakati huo