Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Uko vizuriiiii kwenye utambulishoWa sakayo atakuja anaitwa Transcend si amekwambia jana kaacha mume huku
Kutambulisha lazima kuna waume za watu humuUko vizuriiiii kwenye utambulisho
Nakuhamu ujue
Wameshaachana jamaanHiiii kumbe huyuuu ndo mubebez wa muosha rungu ...
Kwa hiyo huwa anaosha nn...kujua sio dhambiiii jamani
TalakaaaaTalaka tena![]()
![]()
Ukimanisha yeye ni nyakunyaku au humuaminiiiii....Kutambulisha lazima kuna waume za watu humu
MmhTalakaaaa
Nimekoseaaa....mama mchuchu mzima lakiniiii....
Hapana jamaan namwamini ila kutambulisha muhimuUkimanisha yeye ni nyakunyaku au humuaminiiiii....
Najuaaa ila kwan yamebak masaa mangap kurudNakuhamu ujue
Kama matatu hiviiiNajuaaa ila kwan yamebak masaa mangap kurud
Hiiii kwa hiyo yupo singooo bin kutafutaa???Wameshaachana jamaan
Ananijuaa mm ??Hapana jamaan namwamini ila kutambulisha muhimu
Baba D jamaan mbona unanichanganyia habari mara talaka usiniambie unataka kuniachaUshasahau
Alisema umwombee nn
Baba D wewe matani hayoHiiii kwa hiyo yupo singooo bin kutafutaa???
Kisa cha kuachana ni kile cha muosha kuliwa kiboga au
Hiiii nikuacheee wewe ???? , nianziee wapiiiiBaba D jamaan mbona unanichanganyia habari mara talaka usiniambie unataka kuniacha