Duh Hatare aisee..... Kweli hapa #Makapuku.Km hutoi like hupewi like
Hakuna cha dezodezo
Usije kusema kuna ubaguzi
![]()
![]()
![]()
![]()
................
Tit for tatHapa hakuna cha bure.... Toa likes upokee likes.....
Kapuku Forum![]()
![]()
![]()
![]()
Mambo vipi brother.Chura
Ndo maana yakeTit for tat
Salama brother.za usiku wapendwa
Hana maana kabisa huyu chura.Kaomba msamaha nasikia. Pia kaenda basata kujisajili
nzuri kaka, mambo niajeSalama brother.
Habari ya wewe.
Shwari brazaMambo vipi brother.
Yule chura si mchezoHana maana kabisa huyu chura.
Mambo yako poa kabisa.nzuri kaka, mambo niaje
Acha kabisa mkuu,yule chura anakunywa mpaka maji ya motoShwari braza
Yule chura si mchezo

Hapa hakuna MTU maarufu kuzidi mwingine wala hatuangaliani sura ukitoa like unalamba like...ukiuchuna unachuniwaDuh Hatare aisee..... Kweli hapa #Makapuku.
Jamaa yupo busy thus nilihitaji kumsaidia ndo nikamwambia anipe password zake ili niwe naingia namsaidia kulike hapa kwa team Makapuku..nn kinaendelea hapa
Uliicheck lakini ile video?Acha kabisa mkuu,yule chura anakunywa mpaka maji ya moto![]()
![]()
![]()

Niko pouwa mrembo, niaje kwako bibie?Wazima wote?
Unatafuta ubaya wewe.Jamaa yupo busy thus nilihitaji kumsaidia ndo nikamwambia anipe password zake ili niwe naingia namsaidia kulike hapa kwa team Makapuku.
Nilicheki mkuu,ile kitu ni balaa.Uliicheck lakini ile video?![]()
Huyu mbona hatingishi
Karibu.Aiseee. ....Moto unazidi kuwaka. .