Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Maneno yako hayanitishi kijanaHapana brother zilikuwa ni harakati za kukuthibitishia kwamba mimi ni kama Nzi kila sehemu nipo!
Maneno yako hayanitishi kijanaHapana brother zilikuwa ni harakati za kukuthibitishia kwamba mimi ni kama Nzi kila sehemu nipo!
Chura ni noomaa.
Asante bae,tukutane wapi sasa?Mtalaka haombwi ni sawa na maji kisimani ni kunywa tu
Acha tu braza
Chura mtamu sana.Chura ni noomaa.
Kwangu sijaiona bado, hebu nipe niitazame maana ilivyopata umaarufu ghafla mmmh.Uliicheck lakini ile video?![]()
Usijali nishamuelekeza kwa upole kwamba HAKUNA LIKES ZA DEZO....Kuna watu haonyeshi support ya like kabisa, sijui tatizo ni nini.
Umechelewa. Maana mpaka YouTube imepigwa banKwangu sijaiona bado, hebu nipe niitazame maana ilivyopata umaarufu ghafla mmmh.
Ameniambia ana PM nyingi za warembo wazuri, niwe makini.Unatafuta ubaya wewe.
Tuandamane bro kuwasaidia wenzetu wa CHAPUTA kama kijana EMMY.Acha tu braza
Bro eti uko tayari tukusaidie kuandamana maana nimesikia huku mtaani vijana wanalalamika eti Basata wamewafanyia ukatili wa kutisha kabisa members wa chaputa.Hahahah mwambie EMMYGUY afanye hivyo
Nini tena mkuu.Hahahaa mna tabu kweli kweli
Mimi nilijua tu maana bei ya detol ingepanda zaidi ya sukari.Hahahaaa... Umejuaje braza, ni kweli sijaiona.
Kimya kingi shempenzi.Salama shemdarling