Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
In the house.. Punje!!
Kibajajitz karibu mkuu
niaje makapukuz
In the house.. Punje!!
Shukrani mdada naona wamepotea kidogo.. simu mifukoni si unajua kigizaKaribuni tena wakuu
Ni kweli kabisa, naona lama kawa punje inaonekana kwa nadra.......Shukrani mdada naona wamepotea kidogo.. simu mifukoni si unajua kigiza
Mdogo mdogo nisipokuwepo najua mnaniwakilisha so nakua na amani kua tunaendelea kukimbiza humu JFNi kweli kabisa, naona lama kawa punje inaonekana kwa nadra.......
Kama kawa kama dawa mkuuMdogo mdogo nisipokuwepo najua mnaniwakilisha so nakua na amani kua tunaendelea kukimbiza humu JF
Afu bitoz usha copy Avatar yangu, upo faster sana.....
Jifunze kuLIKE post za wenzio kwanzaAfu bitoz usha copy Avatar yangu, upo faster sana.....
Teh Teh, comedy sana wewe mkuuJifunze kuLIKE post za wenzio kwanza
.............
Kaomba msamaha nasikia. Pia kaenda basata kujisajili![]()
Aendelee kula ban
Hana adabu
![]()
![]()
![]()
![]()
...............
Km hutoi like hupewi likeTeh Teh, comedy sana wewe mkuu
Ndio lkn video inaendelea kula life banKaomba msamaha nasikia. Pia kaenda basata kujisajili
Lazima hiyo. Najua kafanya vile ili atoe wimbo mwingineNdio lkn video inaendelea kula life ban
........