Siku hizi wanakapuku mmeshikwa na ububu mnapita mnagonga like then mnanyuti

Hujambo bibieSiku hizi wanakapuku mmeshikwa na ububu mnapita mnagonga like then mnanyuti
Siku hizi wanakapuku mmeshikwa na ububu mnapita mnagonga like then mnanyuti

Sijui kwa kwa niniSiku hizi wanakapuku mmeshikwa na ububu mnapita mnagonga like then mnanyuti
Hbr ya jion baba wawiliSijui kwa kwa nini
Muziki: Furahiday of What's and How's
Leo ni Ijumaa, nakujulisha tu kama ulikuwa hujui na baada ya kukujulisha basi nakusalimia kwa salamu kiwango cha bombadia, u khali gani Kapuku muheshimika. Upande wangu niko poa kabisa na ilivyo kawaida I take furahiday so easy that I only open my mouth to sip our best local beer. Unataka kuendeleza jamii unayoishi, usifanye mengi sana, nunua bidhaa zinazotengenezwa kwenye jamii yako, ofkoz lazima ziwe na ubora.
Kufikia matokeo yoyote, iwe kazini au kwenye kujamiiana ni lazima ujiulize maswali mawili, what and how, too B-A-D wengi tumekuwa tukijiuliza swali la 'what' pekee na kusahau swali la 'how'. Unataka nini, sawa, utakipataje unachokitaka ndo la msingi kujiuliza. Kufikia matokeo unayotaka ukishajiuliza masuala hayo mawili basi malengo yako yahusishe; kusaka maarifa, kuwa team player, kutia umakini, kusaka furaha na zaidi kushinda ndo utapata matokeo.
Muziki sasa; nikushukuru shululu kwa magaeti, asante lee empire kwa kuirahisisha hesabu, na muhimu asante wangu mpendwa husna muba kwa kuuhisha kipengele cha historia, asante sana wadau Makapuku wote mnaoendelea kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa ya kutembelea na kuweka makazi.
Furahia Furahiday kwa kununua bidhaa za ndani (simaanisha ndani kabla ya kukutana na utupu namaanisha locally made products
Naomba wimbo Wa lucky dube "remember me"

Muziki wa Mdhamini
Unajua nini, anayedhamini leo ndo roho yangu, mwili uko kwangu roho kaishika yeye, usiniite mwanasesere maana ninachokipata utaserereka utokeee kusikojulikana.
Mdhamini anajua kabisa anataka tufurahi maana tumekuwa wakimya tunapita na kugonga like kisha tunapotea kwa muda. Asante husna muba kwa kudhamini muziki leo
![]()
![]()
![]()
![]()
Nikisoma ulichoandika lazima nismile km sio kucheka kabisaa
Mpendwa asantee ujue mi napendA sana ragae
Ukismile ndo furaha yangu pia. Reggae hakuna asiyeipenda.
Mimi napenda na yale yanayohusiana na reggae 😀

Lazima upende raggae we c rasi kama mpendwa wako![]()