Makapuku Forum

Makapuku Forum

Comment 1 inawatosha hakuna haja mtu kucomment MORE THAN ONCE ....ni kuupaisha Uzi wao bila 7bu
Unacomment once zen unakuwa mtazamaji tu

......................
Mi ndo nimetupia hiyo moja kwa kumquote kapuku na sitegemei kurudi kule kwa njia ya maandishi
 
Hii ndiyo picha halisi inayotokea kwa mahusiano, mmoja anarusha neno baya kwa utani na mwenzie anaumia. Anatamani kuona mwenzie atajutia aombe msamaha, huku mwingine anataka kuona anabembelezwa, mwisho wa siku asipotokea mmoja wa kushuka...mahusiano ndo yamekwenda na maji...tunataniana lakini ktk vitu halisi vinavyotokea ktk jamii, jifunze kitu hapa
Cc
Emmyguy
Aggyjay
Patience123
Asante kwa ujumbe baba mtumishi...lol,nisamehe X wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom