Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi vitu vipo sana katika jamii tunazoishi, hata ndo maana ndoa za sasa zimekoswa sana staha. Kila mwenzi anajaribu kutengeneza mazingira ya yeye kuwa ndo kichwa na kujikuta mnaleta tafrani na kupelekea hata ndoa kuvunjika.
Nimependa tulivyocheza, patamu balaa, wengi hawatusomi wanachungulia na kuondoka, but cc twajua nini kinaendelea..thus why huwa nasema ni sawa na isidingo the need.
Laleni salama wakuu
 
Jamani wana kapuku naomba niwasilishe hili:
Kama mnavyojuag
hali Halisi kwamba humu wengi tunaigiza tu wala hatufauhamiani na hizi couple kwangu ni drama not my real life,sijui kwenu ni hivohivo??coz cmjui hata mmoja humu na hatujawahi hata kuonana, na mjue ya huku kapuku yaishie hukuhuku,but huyu kaka cjui anajiita emmyguy anavuka mpaka na kuja kunipostia kule kwenye thread za wakongwe na wengineo,silipendi hili!
We were acting here but mi huwa nshiriki kiuhalisia kwenye thread za wengine nje na hapa,nna maisha yangu halisi na ilitkea mda si mrefu mpenzi wangu akatafuta sababu zisizo na uzito na kuamua kuachana nami ghafla,nliumia na bado nna hasira ndani yangu dhidi ya wanaume ndo mana kwenye ile thread anayoimention kila mara huyu jamaa humu nlicomment kwa hasira,sasa anajistukia ni yeye sijui halafu ananijibu kule kwenye thread ya wakongwe "asante mama, kwaheri!
ana tatizo gan hyu mtu?
 
3e397df732366d881e55f6c2e718077b.jpg

Full Time
Manchester Village OUT
.....................
Halaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom