ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Kijana ana wenge sana.Huyu kijana haeleweki, inaelekea hajui kusoma vizuri, jambilo yeye kasoma john
Kijana ana wenge sana.Huyu kijana haeleweki, inaelekea hajui kusoma vizuri, jambilo yeye kasoma john
Binafsi mimi ni mzima, habari za mishe mishe za hapa na pale?
Jana mambo yalikuwa mengi nikajikuta usingizi nao unanizidi ikabidi niuruhusu
Wee nae kiboko[emoji119] yani uko alone na bado unakomaa mwanzo mwisho???Pumzika bwana usije ukapata Fatigue.
Mimi jana nimekesha mwenyewe hapa.
Wee nae kiboko[emoji119] yani uko alone na bado unakomaa mwanzo mwisho???
![]()
Mkuu haya uliyatoa wapi au uko jirani na hii family!
![]()
aksante.
Ooh hapo sawaHapana, nilikuwa nasoma post za mchana kwenye majukwaa mbali mbali.
Je ve bien mkuu, vip kwako!Mchungaji umeamkaje mkuu.
Basi potezea manake nimekwambia useme zawadi gani naona unajishtukia ndo basi tenaaaNikichagua utanipa dada!
Ongeza juhudi tu...... Hakuna linaloshindikanaWamenitamanisha.
Mimi niko vizuri kabisa bro.Je ve bien mkuu, vip kwako!
Asante sana kaka.... Mi penda wewe zaidi kaka langu la ukweliJimena;;;utabaki kuwa dadake nikupendaye sana
Nipe ile zawadi niipendayeBasi potezea manake nimekwambia useme zawadi gani naona unajishtukia ndo basi tenaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana ibrahim msuya hueleweki!
John ni nani hapa?
Umesomea wapi wewe!
Mbona upo upo tu!
Kitambi bila hata elimu ya std 7 ni sawa na mimba kijana
Ayaaaa, uwiiii[emoji179] [emoji120] [emoji178] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Asante sana kaka.... Mi penda wewe zaidi kaka langu la ukweli
Shem langu hiloo[emoji121][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe huna pacha wako tufanye mpango!!?Ongeza juhudi tu...... Hakuna linaloshindikana
Yeah! Mambo shemShem langu hiloo[emoji121]
Too lateNipe ile zawadi niipendaye