EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Hukuiona post yangu ya kumhusu yeye?Aggy autesa moyo nini!,
Hukuiona post yangu ya kumhusu yeye?Aggy autesa moyo nini!,
Kwanini sasa braza tusifanye hivyo?Hakuna haja
Hahaha hiz dramma zetu hiz!Hamna kabisa bro, nshamtoa rohoni na ataendelea kuwa shem basi.
Ubaya haulipwi kwa ubaya.Kwanini sasa braza tusifanye hivyo?
Kazi kwelikweli.Hahaha hiz dramma zetu hiz!
Ila ni kweli, basi tumsamehe 7x70.Ubaya haulipwi kwa ubaya.
Ubaya kwa uzuri tu kaka
Nashukuru umenielewa kakaIla ni kweli, basi tumsamehe 7x70.
Hii ndiyo picha halisi inayotokea kwa mahusiano, mmoja anarusha neno baya kwa utani na mwenzie anaumia. Anatamani kuona mwenzie atajutia aombe msamaha, huku mwingine anataka kuona anabembelezwa, mwisho wa siku asipotokea mmoja wa kushuka...mahusiano ndo yamekwenda na maji...tunataniana lakini ktk vitu halisi vinavyotokea ktk jamii, jifunze kitu hapaUbaya haulipwi kwa ubaya.
Ubaya kwa uzuri tu kaka

Ni kweli kabisa kaka. Hayo mambo yapo sana katika jamii zetuHii ndiyo picha halisi inayotokea kwa mahusiano, mmoja anarusha neno baya kwa utani na mwenzie anaumia. Anatamani kuona mwenzie atajutia aombe msamaha, huku mwingine anataka kuona anabembelezwa, mwisho wa siku asipotokea mmoja wa kushuka...mahusiano ndo yamekwenda na maji...tunataniana lakini ktk vitu halisi vinavyotokea ktk jamii, jifunze kitu hapa![]()
Relax kaka. Hope umeelewa kule au sio
Tuko pamoja kaka.Nashukuru umenielewa kaka
Hivi vitu vipo sana katika jamii tunazoishi, hata ndo maana ndoa za sasa zimekoswa sana staha. Kila mwenzi anajaribu kutengeneza mazingira ya yeye kuwa ndo kichwa na kujikuta mnaleta tafrani na kupelekea hata ndoa kuvunjika.Hii ndiyo picha halisi inayotokea kwa mahusiano, mmoja anarusha neno baya kwa utani na mwenzie anaumia. Anatamani kuona mwenzie atajutia aombe msamaha, huku mwingine anataka kuona anabembelezwa, mwisho wa siku asipotokea mmoja wa kushuka...mahusiano ndo yamekwenda na maji...tunataniana lakini ktk vitu halisi vinavyotokea ktk jamii, jifunze kitu hapa
Cc
EMMYGUY
aggyjay
Patience123