Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwasasa wanapumulia pale kwenye mapost mengi tu......
Kwingine wanaanzia wapi kwa mfano??
70710ed70267351a908cc39e9b4e2fce.jpg

Nendeni mkagonge LIKE post yangu kuonesha umoja wetu
Wapo hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

20 most Influential JF members 2016
.................
 
Best aggyjay sikujua kama utachukulia serious kiasi kile, labda niseme ni matani tu kuzidi. Hata nilivyopost kule kwangu niliichukulia kama only joking, nsamehe kama ntakuwa nimekukwaza.

Mpaka nimeogopa nilikuta umetuma hapa ujumbe wako, nimepata aibu kwa kuhisi kama nimedharirika kwa kuonekana nimekumention kwa ile post. Hata tangu nimejiunga hapa jf sijawahi kumfata PM mwanamke yeyote, maana mie ni mtu ninayejitambua na niko na familia yangu hivyo siwezi hata siku moja kuidhalilisha familia yangu.

Nisamehe bure mamaa aggyjay, na wala sijadhamiria. Mimi siko hivyo kama ulivyodhani, na wewe ni mtu wa kwanza kumkwaza hapa jf tangu nimejiunga sijawahi kuona mtu kanitusi wala kunisemea vibaya.

Pole kwa yaliyokukuta huko nyuma, amini kwamba hiyo ni mitihani ya kidunia. Muombe Mungu atakusaidia.
Asante emmyguy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom