Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
nipo mkuu.. kwema lakini?Tatizo sikuhizi nawewe umekuwa unaonekana kwa nadra sana
nipo mkuu.. kwema lakini?Tatizo sikuhizi nawewe umekuwa unaonekana kwa nadra sana
Wataisoma namba.Mjumbe Hauwawi !!!, youngblood had more Likes than any JF Member as of 5/5/2016 10:47 AM ... Makapuku Leads the List
Mtalaka haombwi ni sawa na maji kisimani ni kunywa tuAsante kwa ujumbe baba mtumishi...lol,nisamehe X wangu.
Kwema sana, tunaelekea kwenye 28k sasa nani kama sisi??nipo mkuu.. kwema lakini?
Huko ni mwendo wa shikamoo JIMENAThats how it is and tunafurahi kuwa kwenye ile top 20 Makapuku wameshine vibaya mnooo
aksante.Asante sana mkuu, nawe pia mchana mwema na siku njema pia
Hiyo imekula kwako john kama ishafika hapo ujiandaeHuko ni mwendo wa shikamoo JIMENA
Kijana ibrahim msuya hueleweki!Hiyo imekula kwako john kama ishafika hapo ujiandae
Ajiandae na nini sasa huyo John???Hiyo imekula kwako john kama ishafika hapo ujiandae
Zawadi gani unataka??Cjambo dada mpenzi, umeniletea dhawadi!
Huyu kijana haeleweki, inaelekea hajui kusoma vizuri, jambilo yeye kasoma johnAjiandae na nini sasa huyo John???
hongera naona ulitupia 27k ...Kwema sana, tunaelekea kwenye 28k sasa nani kama sisi??
Mbon sikuelewKijana ibrahim msuya hueleweki!
John ni nani hapa?
Umesomea wapi wewe!
Mbona upo upo tu!
Kitambi bila hata elimu ya std 7 ni sawa na mimba kijana

Nikichagua utanipa dada!Zawadi gani unataka??
Mchungaji umeamkaje mkuu.Kina ibrahim msuya hueleweki!
John ni nani hapa?
Umesomea wapi wewe!
Mbona upo upo tu!
Kitambi bila hata elimu ya std 7 ni sawa na mimba kijana
Wamenitamanisha.Mpaka raha yaniii![]()
![]()