Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
We sema cha kueleweka, utazurura hadi lini ilhal mmeo katulizana?X-baby upo?
We sema cha kueleweka, utazurura hadi lini ilhal mmeo katulizana?X-baby upo?
Mimi mbona nimetulizana kakaKaka tulizana mbona lizzie yuko vizuri kupita hili jini la mshana jr?
Hakika, ila wale chura mmmmhYe anatafuta watu lawama tu
inafika mahali tutapigwa hata malofi
Aaah kijana upo?mbon nipo aisee
Wale ban ilikuwa sawa yaoHakika, ila wale chura mmmmh
Mkuu andika polepole manake sio kuchapia hukoinafika mahali tutapigwa hata malofi
Hakuna namna. Ila serikali inazingua kama vile ipo double standard ujueWale ban ilikuwa sawa yao
Safi kaka, niaje upande wako.Wadau habar zenu
Fresh mkuuSafi kaka, niaje upande wako.
Mkuu haya ni matokeo ya waziri kawambwa wanaitwa BIG RESULT(s) NOW..BRN pale elimu iliporahisishwa zaidiMkuu andika polepole manake sio kuchapia huko
[emiji12]New member huyo
Alikuwa anaishi kwa kucheki bunge live na![]()
Karibu Kijiweni.Fresh mkuu
Sister vipi.Mkuu andika polepole manake sio kuchapia huko
Nimekaribia mkuu pole kwa kukiacha kile upendacho.Karibu Kijiweni.
Na kwako pia jamaa.