chalii wa ara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,086
- 1,021
Nzur sijui wéwe my kikapuku 😛... missing so much my vikapuku
Japo inauma ila ndo hivo tena "ng'ombe wa maskin hazai"Asante sana mtani
Niajde mdau?Nzur sijui wéwe my kikapuku 😛... missing so much my vikapuku
Siku nyingine mhame vitimu vya kijinga jingaJapo inauma ila ndo hivo tena "ng'ombe wa maskin hazai"
Daaaa sio rahisi kiivo kuihama simbaSiku nyingine mhame vitimu vya kijinga jinga
Basi poleni sana endeleeni kuumiaDaaaa sio rahisi kiivo kuihama simba
New member huyo
Mtag basi huyo kapuku mpya maana nae ni sheeeederNew member huyo
Huyu dogo ibrahim msuya yupo humu wakuu!dada jaman c urudi nyumban mwenzako amaia![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wapi wewe, usawa huu mbona utajileta mwenyewe, niko na dadake mie wa ukweli ambaye aweza kuniletea kitu kimeenda shule ukifika wakati wa kuhitaji..sasa natulizana tuAnatafuta kiki ya kunirudia ila nishamuona wa nini
Kumbe unae mpaka dada kuwadi??Wapi wewe, usawa huu mbona utajileta mwenyewe, niko na dadake mie wa ukweli ambaye aweza kuniletea kitu kimeenda shule ukifika wakati wa kuhitaji..sasa natulizana tu
Amekimbia zamaniHuyu dogo ibrahim msuya yupo humu wakuu!
Ukimwi au!Ndani ya joto cityHuyu ana zawadi zenu muwasiliane naye pm![]()
Karibu sana
Just relaxWee mwache tu.
![]()
![]()
Sio kuwadi kivile but nikimpa kazi nina imani nayeKumbe unae mpaka dada kuwadi??
Huyu ibrahm msuya ni gugu maji la ukweliAmekimbia zamani