Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,649
- 830,495
Kwani kabla hapo alikuwa anaishi vipi?
Chura anajump anajump
Chura huyooo chura huyoo
Kwani kabla hapo alikuwa anaishi vipi?
Chura anajump anajump
Chura huyooo chura huyoo
Chura kafa mapema sana
Naona kijana umeanza kupokea salamu za rambirambi.Pamoja sana kaka.
Asante kaka, tupo pamoja.Nimekaribia mkuu pole kwa kukiacha kile upendacho.
Sisi tunaiman ukikosa kile kizur ukipendacho utapata kizur zaid.
Hahahaaa.... Sijamuona bado.Mkuu hivi hujanuona mpenzi wangu aggujay sehemu.
Ukimuona mwambie nimemmisis sanaHahahaaa.... Sijamuona bado.
Tutaona....
Nini tena?Usinitishe
Poa bro.Ukimuona mwambie nimemmisis sana
Za ya zile za Papa Wemba hahahaa...Naona kijana umeanza kupokea salamu za rambirambi.
Huyo dogo anataka kunitisha mimiNini tena?
Nshaanza tayari bro.Fanya yako tu kaka
Kivipi?Huyo dogo anataka kunitisha mimi
Kwangu hawezi.Kivipi?
Anataka kutenganisha ndoa yako?
Good night mama.Gud night guys!mi nalala
Anko mshana







