Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Leo siogi
...huna haja ya kuoga, wanaume wengi tunapendaga sana kale kaharufu ka kikwapa na papa orijino na sio nguru
Leo siogi
Baba D we si huwa unazikataaBinamu huwez kusahau
kumbe unavalishwa huko 700
Mama BIt's Okay
Aiseeeee na wewe ndio umelisemaAnko bora umekuja maana kulikuwa na jungu unapigwa hapa eti umetekwa na mdada mpya wa morogoro? Sijasema mimi ujue, nimesikia tu
Ukimaanisha niniMimi
Nakupenda babeSijisikii kunywa chochote.. Usijali
MmhHongeraa mwaya.... Wanasema kitanda hakizai haramu.... Am happy for you T
Vipi tenaJamaani S
Cjambo hbr ya uzimaMama jj hujambo?
Sijaamua tu mm sio wa kupelekwa kusomea mie shemela jamanHata wewe ulikiri kabisa, kuwa uende kwa mama ashura upate training
SawaHivi dada toka lini mautani ya kapuku ukachukulia serious usimfanyie T wa watu hivyo sio vizuri jaman
Watu wabaya na walikuwa wanamshauriii husna etiii puchu sijuii puchuuu awapee wanaumaa ...nimegombana ila na yeye akawa haelewekii kama mvua za dar......nilisikia tu jina lako likitajwa na maneno kuhusu wewe, sema nilivaa helmet sikujua nani kaongea. ila utamjua tu muda si mrefu. Atakayekuja kunitolea povu ndo yeye
Bora shem useme...Hivi dada toka lini mautani ya kapuku ukachukulia serious usimfanyie T wa watu hivyo sio vizuri jaman
ahsante cheupe leo ngoja nikilala nimvutie picha sakayooo.... na geisha langu

Love you more hubbyNakupenda babe
Fanta kinywajiii pendwaaaa...si shabiki sana wa kufanya kitu siku hii, mara nyingi huwa ni mwendo wa fanta orange na kupiga wali ndondo, my favorite dish