Makapuku Forum

Makapuku Forum

Huu ulikuwa ni mwezi wenye maana sana kwangu, kwanza ni mwezi wa 8 na ndiyo mwezi niliozaliwa. tarehe ishapita. nilitaka ujue tu.

Na nimeona WCF wamevaa mawigi kana kwamba wamekuja na ubunifu mpya, ha hahahahaha! At least tujenge tabia ya kusema mavazi yetu yamekuwa influenced na Outcast

Mbona haujasema binamu jaman tukuwish
 
ha hahahahahah, ule utunda ukitoka kambani huwa unadundadunda, yaani hata wale wa ile kanda yetu pendwa hutikisika (wakizivaa ofukozi).

Afu inaelekea ndo masuala zako hizi ndudu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom