amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Ibrahim MsuyaKwann unajiingiza kitu ambacho kinakuumiza kwann
Ukitaka kumjibu mtu ni bora umquote ili ujumbe wako umfikie
Sasa Kuna mwalimu Anaitwa EMMYGUY atakufundisha
Ibrahim MsuyaKwann unajiingiza kitu ambacho kinakuumiza kwann
Manuu shem ananituhumu mimi muongo hebu soma hapo juu, anamwambia Youngblood kuwa anazikubali HUDUMA ZAKE unajua ni huduma gani?Huduma zako nazikumbuka ila leo thitakiiii bee (wahehe wanasema akuuuuuu ndemaaaa)
Baby usimsikilze jambilo amekumbwa na roho ya uchonganishi na anahitaji Masada WA maombi hata KABUGHA aliishuhudia hii kitu jana
youngblood anakuheshim sana my
Amazing sijakuelewaIbrahim Msuya
Ukitaka kumjibu mtu ni bora umquote ili ujumbe wako umfikie
Sasa Kuna mwalimu Anaitwa @EMYYGUY atakufundisha
Umenielewa bana si unaona saiz umeandika mwandiko mzuri na umeni quoteAmazing sijakuelewa
Soma post #26851 nimeambatanisha ushahidiNi kweli usemayo my dear..Ndiyo maana nilimuomba uthibitisho tu na akakimbia labda alijua nita-overreact ila nilivyomrudia mwenyewe na sababu hana ushahidi amekula kuna...Nakupenda sana honey na kwa uzuri wako naamini wengi watakutaka ila nakuamini sana kwamba majaribu yote utayavuka kwa ajili ya heshima ya ndoa yetu..
Soma post26851Ni kweli usemayo my dear..Ndiyo maana nilimuomba uthibitisho tu na akakimbia labda alijua nita-overreact ila nilivyomrudia mwenyewe na sababu hana ushahidi amekula kuna...Nakupenda sana honey na kwa uzuri wako naamini wengi watakutaka ila nakuamini sana kwamba majaribu yote utayavuka kwa ajili ya heshima ya ndoa yetu..
k sawa nimeluelewUmenielewa bana si unaona saiz umeandika mwandiko mzuri na umeni quote
Haya karibu tuendeleze tamthiliya yetu ya kapuku's
We acha tu, kuna watu wanabeba uhusika hadi rahaIsidingo ya jf hadi raha.
Shem Kwanza wewe unajua Kuna aina ngap za huduma katika dunia hii??Manuu shem ananituhumu mimi muongo hebu soma hapo juu, anamwambia Youngblood kuwa anazikubali HUDUMA ZAKE unajua ni huduma gani?
Shem akibisha narusha mkanda mzima hewani labda aje pm talizane
Asa k maana yake nini???k sawa nimeluelew
kam kunawatu wangejua huk ni kuzur zaid ya groap la whatsApp du had rahaWe acha tu, kuna watu wanabeba uhusika hadi raha
Alichotaka ukifanye umefanikiwa mkuuAmazing sijakuelewa
amazing unajua nimebobea kuchart na mafans wang txt za kawaida ndo maanAsa k maana yake nini???
Andika kirefu sheikh
Shem uko poa!Umenielewa bana si unaona saiz umeandika mwandiko mzuri na umeni quote
Haya karibu tuendeleze tamthiliya yetu ya kapuku's
thanks kwa kuni elimishaAlichotaka ukifanye umefanikiwa mkuu
Umeona eee, tatizo hadi uuelewechezo inachukua muda sana, coz watu humu wanaelewana waokam kunawatu wangejua huk ni kuzur zaid ya groap la whatsApp du had raha
Inamana ya kwangu huitambui???Kweli kabisa,
Mwanzoni kabisa wakati forum inaanza niliwahi kusema kuwa couple nnayoielewa hapa ni ya Th Name na lizziebettie ila watu hawakunielewa nadhani watanielewa polepole
Na kwasasa couple nyingine nnayoielewa ni ya manuu na amaizing
Ha aahaaah haaahEMMYGUY anahusikaje wakati jongoo hapandi mtungi!