Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
KaribuBila hodi.....
KaribuBila hodi.....
Poa poa mkuu. Ila namimi napata lunch hapa nkimaliza narudi kibaruaniiiKaribu sumbai nakuachia kiti kama mjumbe nawe endeleza, ntarudi badae
Ha ha wanaume Wa dar tunakula mwindi na ndimu na chumvi shemej
Hebu nikaribishe kama yapo
karibu shemWe we pia naona pumzi imekataJamaa hapigi kazi
Ha haa nahitaji likes from youmnasem
Nipo shemeji nipo pouwa saana!.....Shem uko poa?
EMMYGUY anahusikaje wakati jongoo hapandi mtungi!
Ndo kisa cha kuachwa?Thanksssssssss Shem dalring![]()
![]()
karibu shem
Na kwako pia shemeji.Mchana mwemaaaa
Hebu tupe likes kabla hujaagaNawaacha kwa muda likes zangu nipeni wotee
nmekuelew hii mwalim wangu unaniongoza nikulipe nnSasa Ibrahim Msuya unakumbuka rules nilizokupa jana
1.Toa likes upate likes![]()
2.Dont forget rule number one![]()
Nimeamua kupumzika kidogo.We we pia naona pumzi imekata
Panaitwa kapuku forum.Huu mtaa ndo unaitwaje!!? Mbona pamechangamka....
Poa brotherNawaacha kwa muda likes zangu nipeni wotee
Hahah huna lolotee..... Kazi imekushindaaaNimeamua kupumzika kidogo.