Mwambie aliyekutuma hapa amegonga mwamba.Poa usisahau kutuletea mrejesho hapa.
Karibu brother......niko poa kabisa.. can ask you question?
Hahahahahaha sio kwa jibu hiloMwambie aliyekutuma hapa amegonga mwamba.

Nahrene yuko wapi?Karibu brother......
Huyu kijana stress zinamuharibu sana toka akimbiwe. Halafu viroba vinamuharibuHahahahahaha sio kwa jibu hilo![]()
![]()
Kwangu umepotea kijana. Kajaribu kwa mwingine
Pole sana mkuu![]()
![]()
.
Tumetengana bro.
Ukitaka ushauri wa jinsi ya kuachana na Lizzie usisite kunitafuta.Kwangu umepotea kijana. Kajaribu kwa mwingine
Tumetengana.mmetengana au umeachwa bro?
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli kabisa,Huyu kijana stress zinamuharibu sana toka akimbiwe. Halafu viroba vinamuharibu
Ngoja nikae kimya. MaanaUkitaka ushauri wa jinsi ya kuachana na Lizzie usisite kunitafuta.
Asante sana mkuu.Pole sana mkuu
Nashukuru Dada kwa kuliona hili. Huyu youngblood anafikiri lizziebettie nilimpata humu.Kweli kabisa,
Mwanzoni kabisa wakati forum inaanza niliwahi kusema kuwa couple nnayoielewa hapa ya Th Name na lizziebettie ila watu hawakunielewa nadhani watanielewa polepole
Na kwasasa couple nyingine nnayoielewa ni ya manuu na amaizing
sawa wewe ni asali ya warembo lakini sasa kisu chako ni butu ndo mana umeachwaTumetengana.
Nahrene hawezi kuniacha mie asali ya warembo.