Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Aisee......Anza kusoma kuanzia page ya 1 mpaka tulipofikia ili twende sawa
Aisee......Anza kusoma kuanzia page ya 1 mpaka tulipofikia ili twende sawa
Mvua imekata kwa mda, japo hali shwari hata suit unavaa sasaHuku poa kabisa.
Kijua kwambaaali.
Yap,afadhali kidogo hali ya hewa imekaa vizuri kidogo.Mvua imekata kwa mda, japo hali shwari hata suit unavaa sasa
Tisha sana my Sisy..Maana hakuna namna sasa
Yuko poa kabisa kakaMkuu Shemeji yangu lizziebettie ameadimika sana...Yupo poa lakin?
Nzuri kaka, wewe je!Habari za asubuhi wapendwa!
Nifikishie salam zangu za dhati kabisa kwake ndugu yangu..Yuko poa kabisa kaka
Poa sana kabisa mkuu..Wewe adje adje?Habari za asubuhi wapendwa!
Usijali zitafikaNifikishie salam zangu za dhati kabisa kwake ndugu yangu..
Mkuu njoo viaviaNifikishie salam zangu za dhati kabisa kwake ndugu yangu..
Swahili ya arachugaPoa sana kabisa mkuu..Wewe adje adje?

Mkuu nimechomoka town monie mbaya kabisa niko chaka kwa chaka ila jion kawaida sana chuga..Mkuu njoo viavia
Baby usimsikilze jambilo amekumbwa na roho ya uchonganishi na anahitaji Masada WA maombi hata KABUGHA aliishuhudia hii kitu janaUnaweza dhibitisha kauli yako hii mtumish, Kwanza amaizing my wife namwamini sana hivyo sinawasiwasi sana na still naamini youngblood tunaheshimiana sana..
Na ilianziaga Ngalimi...Ni balaa sana..Swahili ya arachuga![]()
Tarangire or ngongoro moja!Mkuu nimechomoka town monie mbaya kabisa niko chaka kwa chaka ila jion kawaida sana chuga..
aiseee hiv jaman mtu mkubwa kama huy kwel aiseew huyo mkuu wa shule afukuzwehapo
swissme