yani youngblood kila siku amekuwa analia kisa mapenzi. namuonea huruma kweli..jonax unajua kama una mtoto alafu unaona anapotea lazima umkanye kama asikii unamchapa
Ni kweli usemayo my dear..Ndiyo maana nilimuomba uthibitisho tu na akakimbia labda alijua nita-overreact ila nilivyomrudia mwenyewe na sababu hana ushahidi amekula kuna...Nakupenda sana honey na kwa uzuri wako naamini wengi watakutaka ila nakuamini sana kwamba majaribu yote utayavuka kwa ajili ya heshima ya ndoa yetu..Baby usimsikilze jambilo amekumbwa na roho ya uchonganishi na anahitaji Masada WA maombi hata KABUGHA aliishuhudia hii kitu jana
youngblood anakuheshim sana my
Shemeji unamaanisha hili ama umepitiwa tu....
Shemeji nimeyasema haya nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa na mtu yeyote.

Iko njema sana braza.mambo vipi kapuku'z?!
Iko shida kubwa ndugu angu...
Wife nashukuru kwa kuliona hilo maana juzi alinituhumu vibaya sana kati yangu na Patience123 ila still akashindwa thibitisha..Mmhhhh nimeamini wewe ni fake pastor
Hiv Jimena ni amri ya ngap Ile inakataza kumshuhudia jiran yako uongo? ?
Isidingo ya jf hadi raha.Polepole utaelewa tu mkuu, hii ni isidingo ya jf huwezi kuielewa kwa haraka
Asante sana broTisha sana my Sisy..
Sina hakika na haya maneno yakoHawana lolote, mapenzi ya nje wakiingia ndani kila mtu na chumba chake
Njema habari yako?Habari za asubuhi wapendwa!
Picha na mpiga picha wetu