Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mkuu mbona umeanza kuandika kichina tena.....hiiiiiio shem mfanyie ma ijanj
Mkuu mbona umeanza kuandika kichina tena.....hiiiiiio shem mfanyie ma ijanj
Wewe kujaga tuu maadam utoe likes kwa sana hata ukipigwa dongo mosi sharti ulaikeNaomben mniunge huku jaman na mm nguvu ni.moja
Huduma zako nazikumbuka ila leo thitakiiii bee (wahehe wanasema akuuuuuu ndemaaaa)Unaniangusha shemeji.
Mbona naona kama huniamin au umesahau huduma zangu.
Mkuu usijemkimbiza mwambie atalewa kwa kile akipendachoAcha ushamba mkuu.
Humu ndani kila mtu ni mlevi.
Hahaha.Huduma zako nazikumbuka ila leo thitakiiii bee (wahehe wanasema akuuuuuu ndemaaaa)
Ati kitu gani hadi kiingie ndo ulale my lovely shem!Assante shem ndio napumzkia JF, si unajua hii kitu addicted Bila kuingia humu ndan usiku wangu haundi vizur
Shemeji amazing naomba umfanyie orientation huyu mgeni.shem analalamik
Mkuu ya kweli haya?
Hahaha.Mkuu usijemkimbiza mwambie atalewa kwa kile akipendacho
Ati huduma gani tena kwa youngblood!Huduma zako nazikumbuka ila leo thitakiiii bee (wahehe wanasema akuuuuuu ndemaaaa)
Mkuu achana kabisa na kitu inaitwa MTIHANIMkuu ya kweli haya?
Unataka nikuharibie au!Hahaha.
Sawa shemeji ila in case ukabadili mawazo mimi bado nipo tu,tena leo sina kazi kabisa.....
Hhahaha.Huyu alikimbia somo LA mwandiko
Daaa nijarib kufikilia hiv kweli akili inasimama au inakumbuka vingine vusivyo kwenye pepa.Mkuu achana kabisa na kitu inaitwa MTIHANI
Acha roho mbaya brother.Unataka nikuharibie au!
Labda utoe kidogo kitu