Makapuku Forum

5/Scott Hall
Alizaliwa mwaka 1958 tarehe 20 Octoba
Huyu ni mcheza mieleka nguli aliyezaliwa jijini Maryland
Alianza kucheza mieleka miaka ya 1980 huko Florida baada ya kujiunga na WCW na kuonesha umwamba hivyo kulamba mkatab mnono
Aloendelea na mieleka kisha akajikita pia kucheza filamu Kuna chanzo kinaonesha ana utajiri wake unafikia USD 90 Milioni

Ila kwa mujibu wa list yangu utajiri wake ni USD 30 Milioni
..........
 
Asante
 
Mrembo sema kakomaa sana
 
4/John Cena
Alizaliwa April 23 mnamo mwaka 1977
Hivi huyu ni nahodha wa wacheza mieleka ? Maana muda wote anafunga beji mkononi kama Michael Carrick vile
Huyu ni mbabe wa mieleka aliyetukuka kwa kugawa vipondo
Keshatwaa mataji kibao tena kwa staili ya kibabe
Sikumbuki kumuona na kichupi ulingoni labda ana makalio kama ya Bashite maana kila siku ni kaptula tu
Anajishughulisha pia na filamu na muziki
Juzijuzi tu kamvisha pete demu wake mwanamieleka

Ana utajiri wa USD 40 Milioni(vyanzo vingine vinadai ni USD 55 Milioni)
.......
 
Namuelewa sanaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…