Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Gereza moja la wachochezi hukooo ArushaKisongo ndio nini jamani
Madame S
Gereza moja la wachochezi hukooo ArushaKisongo ndio nini jamani
Madame S
HahahaUtafanyaje sasa hamna namna zoea tu
Madame S
MmhGereza moja la wachochezi hukooo Arusha
Hmmm.... Sidhani... Kuonewa pia kupo.Labda umetengeneza mazingira hayo
Unaweza wasalimia hata wadogo zakoNikishajua ninaanza kufulia najiandaa mapema kipindi kipite tu huku nikijipa sana moyo yataishayan unabadilika
Madame S
HahahaNataka bhana
Nashukuru Madame S kwa uelewa wakoNimekuelewa
Madame S
Hamna dada wala sio ushamba baki na msimamo wako na maamuzi yako tu agiza redbull yako ujinywee tu kama kawaidaUnaonekana mshamba pale unapotoka out na wanywaji
NashangaaHivi dada ujue nimecheka tu baba d unamvalishaje hilo shirt la kitenge![]()
Unaona eeh mjukuu wangu.. ...unapokuwa muongo maana yake hujali feeling za wengine... As long as yako yanakuendea.... This is animalism..Babu upo kama mimi aisee sipendi kudanganywa jaman na wala sipendi kumdanganya mtu yaan bora uniambie ukweli ata kama utaniumiza kuliko kunidanganya
Namshukuru mungu... Yuko pamoja namiUnaendeleaje babu yangu lakini
Kuonewa ni udhaifu ujueHmmm.... Sidhani... Kuonewa pia kupo.
HahahaHamna dada wala sio ushamba baki na msimamo wako na maamuzi yako tu agiza redbull yako ujinywee tu kama kawaida
Ameen babu kikubwa ni uzima Mungu ni mwaminifu sana kwetu sisi binadamuNamshukuru mungu... Yuko pamoja nami
Yeah changamoto lazima dada mara upo na bae ye mnywaji wewe tena mwendo wa fanta au redbull mtaanza kubembelezana hapo onja kidogo basi au nikuagizie wine kama hauna misimamo yako ndio hivyo tena unaingia kwenye chama kidogo kidogoHahaha
Napitiaga changamotoo saana.... Ila nina msimamo ka panya Road
Nimewaza tuu kile kitambi na kitenge HahaaaUna utani na baba dhivi umewaza nini lakiniiii
Asante T jaman umeongea kwa hisia wachache watakaokuelewa wenye kuchezea mioyo ya wenzaoWakuu...
Pendeni wake zenu aisee..
Na ninyi wanawake pendeni waume zenu..
I just feel to say this..:
Najua wengi wanapita kapuku kimya kimya ila hii wameipata..
Just love her...
Just love him...
Nimewaza tuu kile kitambi na kitenge Hahaaa








Baba D ukuje umuone sakayo anavyokumaliza