Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta mpole sanaKuishiwa ni changamotoo
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta mpole sanaKuishiwa ni changamotoo
Haya bhanaa na vitenge vyao ka waimba kwaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili kichwani
Madame S
Na ninaomba sana Mumgu aniepushie hayo mawazoKuwa hivyo hivyo kama sakayo
Cjambo shikamooHujambo mjukuu mwee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio mchochezi sasaHaya bhanaa na vitenge vyao ka waimba kwaya
Nimecheka sana mpaka machozi jaman pombe si chai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
Kama mieee tuu, acha niwe mshamba tuuMe hata sjui zina taste gani wallah na hata sina mawazo nije nionje
Madame S
AmeeenNa ninaomba sana Mumgu aniepushie hayo mawazo
Madame S
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mzima mwaya Tumoo... Usijali Ataitika... Salimia pia familia
HayaYamalizeni jamani msigombane
Madame S
Una utani na watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya bhanaa na vitenge vyao ka waimba kwaya
Yaishe madame... Kisongo kuna nafasi ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akaah!!! Mie najaribu kuunga dots ati
Madame S
AmeeenKama mieee tuu, acha niwe mshamba tuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapo chacha
WoooiiiUna utani na watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nawe pia Bitoz1/China![]()
![]()
![]()
Hawa watu ni shida wanajiandaa kuitawala dunia
Huku bongo wanatusumbua ni viwanda vyao vya koroboi na yeboyebo.....unaweza kuwaona ni wajinga ila wanapiga pesa
Ni mabingwa wa kukopi na kupaste wanakopi hadi magari na kuyatengeneza kwa bei chee hata pungufu ya 50& ya mzalishaji wa mwanzo
Ukileta Samsung wao wanaketa Sumsang
Ukileta Toyota wao wanaleta Tayota
Ukileta Land Cruiser wanakuletea Wind Cruiser au Rand Cruiser
Ni shiiida !!!
Viwanda huzalisha USD 1,750 ambayo ni karibia 1/3 ya GDP
Wafanyakazi hugharimu wastani wa USD 3 tu kwa saa
Kodi ni 25%
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwamliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
...................
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 568075hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madame S
Wananiboa kweeeli...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ndio mchochezi sasa
Madame S
Mie naugua etiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unajikuta mpole sana
Madame S