Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Kwa nini hivyo lakinii... We unaona ni SawaaaaJamaani Babe...! Nini Tatizo?
Kwa nini hivyo lakinii... We unaona ni SawaaaaJamaani Babe...! Nini Tatizo?
Hutaki auuuu
Hahaha
Babu upo kama mimi aisee sipendi kudanganywa jaman na wala sipendi kumdanganya mtu yaan bora uniambie ukweli ata kama utaniumiza kuliko kunidanganyaSera yangu sipendi kudanganya wala kudanganywa... Uongo haujawahi kumuacha mtu salama.
Unaendeleaje babu yangu lakiniMarhabbaaa mjukuu wangu... Nimekumiss pia mjukuu wa mimi
Hahaha
Yamalizeni jamani msigombaneKwa nini hivyo lakinii... We unaona ni Sawaaaa
Na kweli mamy acha nimwambie tu Mungu wangu asante jamanbe thankful mam wengine hata huo ubonge wanautaguta hawaupati ni kujikubali tu
Madame S
Me hata sjui zina taste gani wallah na hata sina mawazo nije nionjeHahaha
Sitokaa ninywe milele...
Lakini enzi za ujana wako ulikua unacheza wa mashindano babu inaonekana mtu wa mazoezi weweMpaka sasa ninacheza.... Sio wa mashindano lakini.
Hahaha
Hahaha
Hivi eeehh, mieee najuaga amepewa pic moja na mamake....



akili kichwani
Yaaani we acha tuHahaha
Unatamani ukufwee ukabomoe hata dirisha then ukuje duniani