Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
3/Germany
Mfalme wa Madikteta duniani Adolf Hitler alipoingia madarakani kuiongoza Ujerumani alishangaa kuwaona Wajerumani wanahangaika kuendesha vibaiskeli na kujisikia uchungu licha ya kuwa na roho mbaya akajiapiza kwamba ni lazima kila Mjerumani aringie gari
Sasa hapo ndio chimbuko la Volkswagen sisi huku kwa dharau tunayaita mgongo wa chura wakati hatuna hata kiwanda cha kutengeneza baiskeli
Ndivyo Hitler alovyoanza kuipaisha Ujerumani kwa uchumi wa viwanda
Vipi kuhusu Adidas & Puma ambao wametawala uzalishaji wa vifaa vya michezo
Viwanda huzalisha bidhaa na kuiingizia Ujerumani USD 7 Bilioni
Nchini Ujerumani wafanyakazi wa viwandani wanagharimu wastani wa USD 40 kwa saa
Kodi inayotozwa viwanda ni 33%
.......