Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Woooiii
Lee analo sare na wewe nini

dada niache ujue nacheka kama chizi
Asante sana ubarikiwe1/China![]()
![]()
![]()
Hawa watu ni shida wanajiandaa kuitawala dunia
Huku bongo wanatusumbua ni viwanda vyao vya koroboi na yeboyebo.....unaweza kuwaona ni wajinga ila wanapiga pesa
Ni mabingwa wa kukopi na kupaste wanakopi hadi magari na kuyatengeneza kwa bei chee hata pungufu ya 50& ya mzalishaji wa mwanzo
Ukileta Samsung wao wanaketa Sumsang
Ukileta Toyota wao wanaleta Tayota
Ukileta Land Cruiser wanakuletea Wind Cruiser au Rand Cruiser
Ni shiiida !!!
Viwanda huzalisha USD 1,750 ambayo ni karibia 1/3 ya GDP
Wafanyakazi hugharimu wastani wa USD 3 tu kwa saa
Kodi ni 25%
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwamliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
...................
Nimecheka sana mpaka machozi jaman pombe si chai

furahi my dear mwenyewe nimecheka sana nilipoisoma yan hatari
Sio ushamba mom n maamuzi na msimamo tuKama mieee tuu, acha niwe mshamba tuu
furahi my dear mwenyewe nimecheka sana nilipoisoma yan hatari
Madame S

acha tufurahi kipenzi maisha yenyewe mafupi haya
Asante Bitoz1/China![]()
![]()
![]()
Hawa watu ni shida wanajiandaa kuitawala dunia
Huku bongo wanatusumbua ni viwanda vyao vya koroboi na yeboyebo.....unaweza kuwaona ni wajinga ila wanapiga pesa
Ni mabingwa wa kukopi na kupaste wanakopi hadi magari na kuyatengeneza kwa bei chee hata pungufu ya 50& ya mzalishaji wa mwanzo
Ukileta Samsung wao wanaketa Sumsang
Ukileta Toyota wao wanaleta Tayota
Ukileta Land Cruiser wanakuletea Wind Cruiser au Rand Cruiser
Ni shiiida !!!
Viwanda huzalisha USD 1,750 ambayo ni karibia 1/3 ya GDP
Wafanyakazi hugharimu wastani wa USD 3 tu kwa saa
Kodi ni 25%
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwamliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
...................
Kisongo ndio nini jamaniYaishe madame... Kisongo kuna nafasi ujue
Kweli kabisaSio ushamba mom n maamuzi na msimamo tu
Madame S
PombeNini hiyo?
Nikishajua ninaanza kufulia najiandaa mapema kipindi kipite tu huku nikijipa sana moyo yataishaMie naugua etiii

yan unabadilikaNataka bhanaHutaki auuuu
Ni kweli kabisa unapoupata wakati utumie inavyotakiwaacha tufurahi kipenzi maisha yenyewe mafupi haya
Umetetea mnoo sare za kitenge bhanaa.... Wanakuwa ka waimbaji wanaochipukiadada niache ujue nacheka kama chizi
Hivi dada ujue nimecheka tu baba d unamvalishaje hilo shirt la kitengeUmetetea mnoo sare za kitenge bhanaa.... Wanakuwa ka waimbaji wanaochipukia

Unaonekana mshamba pale unapotoka out na wanywajiSio ushamba mom n maamuzi na msimamo tu
Madame S