Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
KaribuNimepita kuwasalimu tu
Kwa herini [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Madame S
KaribuNimepita kuwasalimu tu
Kwa herini [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Muziki: Sijakusahau
Nikushukuru sana mdau na Kapuku wa nguvu, well, unaweza ukajiuliza nakushukuru kwa nini.! Usikonde, nakushukuru sababu upo na unalifanya Jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Anyway, sijarudi kikamilifu bado, pamoja na hayo bado ninapata muda wa kusoma na kuangusha 'like'kwa sababu tunalaikiana, au sio. Nakushukuru shululu kwa kuweka muziki kama ilivyo kwa Bitoz , asanteni wadau. Ninawakumbuka sana lee empire , Shunie , kipenzi changu husna muba , mtaasisi Nyagei , Tumosa , Clkey , BlessedHope , dingimtoto , mzeewakungoa , Madame S , Transcend ,SHIMBA YA BUYENZE , koncho77 , Sakayo , Mkushi wa kusi , Mndali ndanyelakakomu , Curious gal ,demi ,Mussolin5 ,werrason , makaveli10 , Jimena na wewe msomaji na shabiki wa KF.
Muziki sasa, ulishajipa muda wa kutembea mtaani na ukakutana na wale myuzishani wa kitaa, hawana band ila wanaimba nyimbo unazozijua. Wengi wao hupiga gitaa na kigoma au zeze, marimba na vitu kama hivyo. Ukiwa hujawahi sio ishu maana muziki utakukuta popote ulipo na ndo tutawaangalia jamaa hawa kwa leo. Much love na tambua kabisa bila wewe jukwaa hili lisingekuwa bora lilivyo sasa
Hawa mabwege hata ngono sijui wanafanya saa ngapiMasaa 22 wanalala wana usingizi mzuri sana asante bitoz kwa top ten
Madame S
Kumchukia mmoja wao ni kujipa stress za bure tu
[emoji23][emoji23]yani wewe haya ban goodnight kesho ntaangalia nikiwa na time nitaandaa top tena nitakwambiaHawa mabwege hata ngono sijui wanafanya saa ngapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.
Tukutane kesho mdau
.......
[emoji23][emoji23]me sjasema hivoKumchukia mmoja wao ni kujipa stress za bure tu
.
Tukutane kesho
.....
Haina shida Madame[emoji23][emoji23]yani wewe haya ban goodnight kesho ntaangalia nikiwa na time nitaandaa top tena nitakwambia
Madame S