Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 1.

Gary McKinnon

Huyu jamaa ndio alikuwa Top, sasa hivi ana umri wa miaka 51.

Ni raia wa scotland. Huyu Gary alikuwa ni mtaalamu wa Computer .

Gary aliweza kushambulia na kudukua Computer za jeshi la marekani na NASA ( National Space Agency) akiwa nyumbani kwa shangazi wa mchumba wake.

Gary aliweka virus na kufuta mafaili kwenye computer za NaSA 97.

Gary alikiwa anaingilia computer za jeshi la marekani kwa kufuta mafaili kwenye computer 2000 ndani ya masaa 24.

Alipakua na kunakili password na email za maafisa wa jeshi la marekani na Nasa.

Mbaya zaidi akaamua kuingia kwenye website ya NASA na kuandika ""Your security is a Crap" akimaanisha "Usalama wa Computer zenu ni Uchafu"

Gary alifuta na kufunga computer 300 za kuongozea baadhi ya mitambo ya kutengeneza Silaha nchini marekani , lakini pia Garry aliiba mafaili ya UFO's ambayo hadi leo yanabaki siri kwa jeshi la marekani.

Gary ndie aliefanya udukuzi mkubwa kuliko udukuzi wowote uliowahi kutokea ktk computer za majeshi.
f303c116cef929ae77ae15ad0d0d8f81.jpg
12bd7806b4748e6a2a02bbc807f8d404.jpg



Kwa leo Naishia hapa.

Nawatakia Usiku mnono.

Transcend.
Alijitahidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom