Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Sio dhambi ila ni udhalilishaji kwa MUFCKwani dhambi bablai!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Man U = Man Useless
Sio dhambi ila ni udhalilishaji kwa MUFCKwani dhambi bablai!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
MmmmhUna bahati sana
Kasema atakua offline kwa mda usiozidi wiki 3 au 4[emoji134] [emoji134] [emoji134] anaenda wapi
GoodAlways usijione mshindwa ikiwa hata kujaribu hujajaribu me siku mbili hizi hizi najaribu
Madame S
Usikuwe mnyonge best.. utaniliza bure kipendhii changu, thahiba wangu..[emoji17] [emoji17] [emoji17][emoji17] [emoji17] [emoji17]
Husna kwa maneno makali hujamboNataka kupima kojo la marehemu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] wewe wasemaIla kwa ww naona ni faradhi
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hii na ile ship shipping ship, zinawiana..
Madame ni cheo cha mwanadada/mwanamama anayejitambua na kufanya kazi zake kwa weledi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa s naanza na m
Madame S
Eewwaah.. na sakayo pia namdai..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntamwambia na sakayo
Madame S
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji17] [emoji23] Mimi miezi 11 mkuuHahaa.. hv wee ulizaliwa njiti eeh au miez 12 km jack chain..[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Anaweza akasababisha mwenzie akoshe vyombo..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kasema anakuagizia ila utalipia mwenyewe