Mbona umetuaga lakini shwmela au hujaondka badoSafi hii
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hahahaha unigaieEewwaah.. na sakayo pia namdai..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Hahaa..Sio dhambi ila ni udhalilishaji kwa MUFC
Man U = Man Useless
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Akija wakat mie nshaondoka, mwambie anunue tuu ntaila kiporo na maziwa asubuh..[emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndio chuchunge huyu eeh
Mambo tu kutingwa shemeji..[emoji134] [emoji134] [emoji134] anaenda wapi
Sijui [emoji85][emoji85]Ndio chuchunge huyu eeh
Tycoon MAKAVELI Jr.
Sawa madam S umzima lknKasema atakua offline kwa mda usiozidi wiki 3 au 4
Madame S
Msemaji wangu huyo..[emoji23] [emoji23]Kasema atakua offline kwa mda usiozidi wiki 3 au 4
Madame S
Umbea kwako ni faradhi[emoji23] [emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4] wewe wasema
Shunie,sakayo,shululu,Bas shunie inamuhusu..
Shunie ukuje kunnulia pizza huku best
Tycoon MAKAVELI Jr.