Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Salama kakaWakuu habari za humu ndani naomba mnikaribishe
Salama kakaWakuu habari za humu ndani naomba mnikaribishe
Tupo mussoMakomredi mpo?
Mbona unaogopa madame s huwa humkumbatiiwewe
Madame S
Ka mimi hakooEeh.. kajeur mnoo haka. Si kanamgeza husna muba.
Tycoon MAKAVELI Jr.

Mimi huwa napakua movies huko yutubuNikiwa na bando la kutosha naingia YouTube namuangalia joti niongeze siku
Ukubwa zaidi ya huu nilionaoLazima afanye masihara si ndio umri wake wa masihara, akikuwa mkubwa km sisi ataacha.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Si anatuona wote mapopoma.. uongo wa kuwapa watoto wa chkechea anakuja kutupanga sie watu wazima tulijilia chumv za kutosha.
Tycoon MAKAVELI Jr.

Vipiii jamaan tigo ni simu yangu ndio anayoitumia ulifkilia nini![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ahahhhhh endelea kubishaNdoa unaona nyimbo ya taifa kila mtu anajua kuimba..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
KheeeeShunie nae anataka kushindikana km husna..
Pliz sakayo mfunde upya..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Endelea kubisha makaHhmmm.. 40s, uringe, tungekuwa hatupumui humu..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Miss you too Mndali... Za kufichwaSakayo nimekumis ujue masalimie na kaka mkubwa mwambie mndali anakusalimia
Hapana hayo mambo ya kuja ndio siyataki we tuma tu kwa mpesaPoa, utapata.. tafta siku uje kuyachukua.
Tycoon MAKAVELI Jr.
Shunie kwa kujikweza, kumbe hata huyo wako wa moyoni umemuambia 30s
Tycoon MAKAVELI Jr.





nilimdanganya
Mmh ebu achana na shemela shululu ni mchochezi unipotezee ili iwejeMie nitampotezea tuu
Bisheni hapo hapoAnafanya masihara huyo
Kwahiyo hizi nyingine sio hospital eenhOcean road hospital ndio mambo yote,