Makapuku Forum

Makapuku Forum

International Left-Handers Day.

Namba 3.

Wauaji wengi ni Left Handed.

Kumekuwa na imani katika jamii kuwa watumiaji mkono wa kushoto ni wauaji kwa nammna fulani. Hii ikemuwa inaaminika hivyo kwa kuwa shetani anaaminika kuwa left handed na muuaji. Lakini pia kuwa wauajia amabo walikuwa ni left handed kama Osama Bun Laden, Boston Strangler na Jack the Ripper.
 

Attachments

  • d58f346f932eea4e7efea8d73c4570ec0f90984a.jpeg
    d58f346f932eea4e7efea8d73c4570ec0f90984a.jpeg
    21.6 KB · Views: 17
  • r.jpg
    r.jpg
    7.9 KB · Views: 16
  • S.jpeg
    S.jpeg
    26.9 KB · Views: 16
  • binladen_16.jpg
    binladen_16.jpg
    15.2 KB · Views: 17
  • t.jpg
    t.jpg
    12.3 KB · Views: 17
International Left-Handers Day.

Tarehe 13 mwezi wa 8 ni maazimisho kwa watu wanaotumia mkono wa kushoto kufanya kazi zao badala ya mkono wa kulia. Kwa mara ya kwanza maadhimisho haya yalifanyika mwaka 1976 wezi na tarehe kama ya leo.

Haya maadhimisho yalianza rasmi ili kuonyesha uwepo wa binadamu hawa wanaotumia mkono wa kushoto katika ulimwengu uliotawaliwa na mifumo inayopendelea watumiaji wa mkono wa kulia. Wakati mwingine watumiaji wa mkono wa kushoto wanapata sana taabu kutumia vitu vyenye mifumo ya mkono wa kushoto. Mfano Kuendesha vyombo vya Moto, Kutumia Silaha,Kuandika na n.k.

Katika tafiti nyingi zilizofanyika inaaminika asiliamia 10% ya watu wote duniani ni left-handers( watumiaji mkono wa kushoto). Kwa hesabu za mwezi August mwaka 2017, dunia ina idadi ya watu 7,500,000,000 (billion Saba na nusu). Asilimia 10 ya watu 7,500,000,000 ni watu 750,000,000 ( Milion mia saba na hamsini).

Mambo ambayo hukuwahi kuaysikia juu ya Left-Handers (Watumiaji wa mkono wa kushoto), Baadhi ya mambo yako proved kabisa lakini mengine ni imani tuu juu ya watu hawa adimu.

Yako zaidi ya 10, ila nitelezea hadi pale nikapoona nimecover sehemu kubwa.

Namba.1.


Lefties, wanaaminika kuwa ni wachoraji wazuri zaidi ya right-handers, watumiaji wa mkono wa kushoto ni mahiri katika kuchora, wengi wao wanachora picha ya mtu akiwa anaangalia upande wa kulia.



Karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom