Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Ndo kaka angu mwenzio ntafanyage sasaNisamehen jaman..
Ila kaka gani likojozi..[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ndo kaka angu mwenzio ntafanyage sasaNisamehen jaman..
Ila kaka gani likojozi..[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Niliiona Asante sana mama JJ
Ahahhhh ndio mana nilimuuliza mieMie hata nmeshindwa kumuelewa ndugu gangu
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee
We unataka mambo gani makaHahaa... ndio maana sitak mambo haya mie..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wavietnam nux.. mmarekan alikula kona, muulize bi husna mubaraq
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wee kile hakina uchungu.. dawa ya mademu,..Kipo ambacho hakina sukari. Kile kiazi cha chips
Uongo wako huo mbona amenitumia pcha aliyopigia kwenye kibao kilichoandikwa karibu tangaNikugombanishe na mume wapiiii aliweka picha hapa yupo makhirikhiri kinyerezi anajinywea zake wine wewe umeagwa kasafiri na sweta umemuwekea poleee mke mwee
[emoji107] [emoji107][emoji817]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Wako poa wanakusalimu tu jirani..Nzuri kabisa jirani,vip vijana wetu wanasemaje
Real gentleman...Pole sweta nlikuwekea kwenye begi humo umeiona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] au unaogopa jini maimuna atakula tako[emoji1] [emoji1]Hata kwa mtutu wa bunduki siwez kulala hvyo..
Usingiz haukuj..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Ukisoma vtabu vyao utakuta siri kibaoNi kweli kabisa jamaa ni wachawi sana aisee dead silence
Mie nimekuuliza jamani si kua ndio maana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Acha niendelee kucheka jamaan [emoji23][emoji23] yupo dar hii hii