makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,864
- 104,048
Basi sawa.. nilikuwa naipenda kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
haya naikumbukaa
Tycoon MAKAVELI Jr.
Basi sawa.. nilikuwa naipenda kweli![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
haya naikumbukaa
Wajivunga tuHahaa... ndio maana sitak mambo haya mie..
Tycoon MAKAVELI Jr.



Huko huko mbona sikuoni
napitaga kimya kimya
Woiiiii mke mwee na we kumbe ni wakuja hivyo amekidownload google poyeee ireen anajifaidia huko shemela wanguUongo wako huo mbona amenitumia pcha aliyopigia kwenye kibao kilichoandikwa karibu tanga
Ngoja aje ukione cha mtema kuniNisamehen jaman..
Ila kaka gani likojozi..![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
Zipo lakin si kivile.. uswaz uswaz labda..Leo nilikutana na ngongoti kumbe hizi mambo bado zipo miaka hii
Kisa nin!?Sizonje hataki kusikia kabisa tycoon
Acha nimwambie Mungu Asante
nimejisikia huruma kuna watu wana maisha magumu
Kodoooooo
Wee kile hakina uchungu.. dawa ya mademu,..
Unaijua vizur kolabo ya chipsi na mayai..
Ndio kolabo bora na inayopendwa zaid kuliko kolabo zote tz..![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.

Amesema imestopishwa mpaka itolewe tena![]()
napitaga kimya kimya
HV MTU gani ....hajatupia tu?!
Ni kweli mam, maisha unayoishi kuna mwengine anayatamani tujifunze kushukuru kwa kila jambo,Acha nimwambie Mungu Asantenimejisikia huruma kuna watu wana maisha magumu