shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Kuna formula za kulala, sio ilimradi tu umelalaMe huwa naota halaf nakabwa kabisa
Kuna formula za kulala, sio ilimradi tu umelalaMe huwa naota halaf nakabwa kabisa
Photoshop hiyooo editingUongo wako huo mbona amenitumia pcha aliyopigia kwenye kibao kilichoandikwa karibu tanga
ChelseaNi chelsea au liver!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Unaomba dua kabla ya kulala..!!? Omba dua kisha ulale..Me huwa naota halaf nakabwa kabisa
Na me nimekutana nayo uswazi kwetu hukoZipo lakin si kivile.. uswaz uswaz labda..
Watoto wa dijitali hawa..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kweli dear tusimkufuru Mungu kabisa inabidi tumwambie Asante kwa kila jamboNi kweli mam, maisha unayoishi kuna mwengine anayatamani tujifunze kushukuru kwa kila jambo,
Madame S

Shemela huwa inatokea bahati mbaya ujue unajikuta chaliiiiiKuna formula za kulala, sio ilimradi tu umelala
Hao tuwaiteje vihengaaa woiiiiiii
Madame S
Mie nimekuuliza jamani si kua ndio maana yake
Madame S
basi jibu ni ndioVumilia tu..Ndo kaka angu mwenzio ntafanyage sasa
Lakini shemela wangu nilikuqoute weweAhahhhh ndio mana nilimuuliza mie
Makaveli me silali bila kumuomba Mungu aisee ata nimerudi usiku vipi Mungu kwanzaUnaomba dua kabla ya kulala..!!? Omba dua kisha ulale..
Lakin sishangai sana nyie wanawake mnaweza kulala vyovyote..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Kuna haja ya kukupeleka kwa mzee wa kanisa ukathibitishe kauli zako mke mweeeWoiiiii mke mwee na we kumbe ni wakuja hivyo amekidownload google poyeee ireen anajifaidia huko shemela wangu
Basi sawa.. nilikuwa naipenda kweli![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.
mi naipenda hadi leo