makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,434
- 108,452
Nahis klopp bado hamuamin karius..Benchi yupo Mjerumani anachoma tu mahindi
Kachagua kuweka pazia golini
....
Tycoon MAKAVELI Jr.
Nahis klopp bado hamuamin karius..Benchi yupo Mjerumani anachoma tu mahindi
Kachagua kuweka pazia golini
....
Hata kwa mtutu wa bunduki siwez kulala hvyo..Lala kifudifudi banaa
Kule kwenye njia nyembamba ?!Hivi kule kwa tivu mbona hatukuoni au unasoma kimya kimya mpendwa wa binamu
Acha niendelee kucheka jamaan [emoji23][emoji23] yupo dar hii hiiNdio nlihisi maeneo mengi msimu wa baridi haujaisha so nnapomuandalia begi la safari nkamuekea jamani
Msukuma kabilaMsukuma mkokotena au!?
Tycoon MAKAVELI Jr.
Huko huko mbona sikuoniKule kwenye njia nyembamba ?!
Oohh.. kumbe!!! ndio maaana..
Me huwa naota halaf nakabwa kabisaHata kwa mtutu wa bunduki siwez kulala hvyo..
Usingiz haukuj..
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntawakimbia
Madame S
[emoji134] [emoji134] [emoji134] utatugombanisha na mume wngu ujueAcha niendelee kucheka jamaan [emoji23][emoji23] yupo dar hii hii
Nisamehen jaman..[emoji134] [emoji134] [emoji134] wenzio huyo ni kaka etu ujue,mambo ya kumuaibisha hadharani tunaona aibu sie[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Usikimbie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntawakimbia
Madame S
Kumbe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa kiswahili fasaha ndio huitwa kigego?
Madame S
Mie hata nmeshindwa kumuelewa ndugu ganguHana jina shemela huyo unayempa hongera
Niliiona Asante sana mama JJPole sweta nlikuwekea kwenye begi humo umeiona?
Ohooo....[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mtaani kwao ukiskia kindumbwe ndubwe tuu.. ujue nyangema kaisha mwagilizia godoro na maji taka..[emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji85] [emoji85] [emoji124] [emoji124]Kitamu[emoji1] [emoji1]
AiseeKweli mke mwee usikute mumeo alikuwa anaongea na simu
Nikugombanishe na mume wapiiii aliweka picha hapa yupo makhirikhiri kinyerezi anajinywea zake wine wewe umeagwa kasafiri na sweta umemuwekea poleee mke mwee[emoji134] [emoji134] [emoji134] utatugombanisha na mume wngu ujue
Hahaa... ndio maana sitak mambo haya mie..