amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
My wii me mzimaWifi mzima wewe?
Kijacho anaendeleaje?
Kijacho yuko poa ila vitu anavyopenda ata sivielewi elewi yan anapenda nyama choma na twist
My wii me mzimaWifi mzima wewe?
Kijacho anaendeleaje?
KaribuSalama.
Yupi sasa nipo na dada wengi sana yupo Linamo, yupo Patience123 yupo Jimena...Wewe ni yupi unatka aje huku?Mwite dadako huku
AsanteKaribu
Linamo ni mpambe wangu,Yupi sasa nipo na dada wengi sana yupo Linamo, yupo Patience123 yupo Jimena...Wewe ni yupi unatka aje huku?
Duh huyu atatufilisi atakuwa karirhi toka kwa babu yakeMy wii me mzima
Kijacho yuko poa ila vitu anavyopenda ata sivielewi elewi yan anapenda nyama choma na twist
Dada angu si wote tu wazima wa afya tele hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu...Tukinywa maji tunakuona kwenye glass, Hatupati usingizi tunakuwaza wewe tu....Unazikumbuka hizi dada yangu..Kaka mzima?
WiFi hajambo?
Nazikumbuka Sana enzi za barua. Inaandikwa Leo inafika next weekDada angu si wote tu wazima wa afya tele hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yetu...Tukinywa maji tunakuona kwenye glass, Hatupati usingizi tunakuwaza wewe tu....Unazikumbuka hizi dada yangu..
Mpambe wakoLinamo ni mpambe wangu,
Jimena dadake mie
Patience123 ndo aje
toka lini?
Tusimwage mchele kwa ndege kula kimyaMpambe wako![]()
![]()
toka lini?
OK wacha atakuja hapa Patience123 ila dada angu Linamo alishatangaza kuvutiwa na sadaka ya madhebau na alikuwa tayar kwa ndoa kabisa...Linamo ni mpambe wangu,
Jimena dadake mie
Patience123 ndo aje
Kaka huyu hafai. Ni mwingi Kama mcheleOK wacha atakuja hapa Patience123 ila dada angu Linamo alishatangaza kuvutiwa na sadaka ya madhebau na alikuwa tayar kwa ndoa kabisa...
Nina furaha mpaka sasaVan Girl OUT
...............
Sio lazima wanaovutiwa nawe wawe wakoOK wacha atakuja hapa Patience123 ila dada angu Linamo alishatangaza kuvutiwa na sadaka ya madhebau na alikuwa tayar kwa ndoa kabisa...
Nipo, habari ya wewe? Wifi umepata salamu zake?? Hebu mrudishe basiiDadake mie upo!
Nahisi ombi langu limesikikaNina furaha mpaka sasa
Nina furaha mpaka sasa
Wazima dear, hofu kwakoWazima humu ndani
Halafu nakumbuka lazima uchore moyo ulipigwa mkuki katikati...Na swaga fulan za wewe ndiyo asali wangu wa moyo...Bila wewe am nothing....Ukimtumia msichana kwanza akiipata lazima akaisomee toilet ili asishikwe nayo...Nazikumbuka Sana enzi za barua. Inaandikwa Leo inafika next week