Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nipo, habari ya wewe? Wifi umepata salamu zake?? Hebu mrudishe basii
Leo mmemsikia mwenyewe akieleza udhaifu wake kuwa utulivu kwake no zero, mlinitukana sana, nami nilitunza siri ya ndani, leo kashuhudia mwenyewe...mnitake radhi
 
Halafu nakumbuka lazima uchore moyo ulipigwa mkuki katikati...Na swaga fulan za wewe ndiyo asali wangu wa moyo...Bila wewe am nothing....Ukimtumia msichana kwanza akiipata lazima akaisomee toilet ili asishikwe nayo...
Bila kusahau dedication.
Enzi hizo nyimbo za westlife zilitamba Sana.
Dedication-my love-westlife
Duh kweli maisha yamebadilika
 
a4da8b9d608eb66bf5a9fea36b6a236e.jpg
Man United tuko juu sanaaa
 
Ila sister maadam unataka kupiga mpunga tu...Komaa nae huyu huyu ataeleweka tu..Piga vile vimini vyako pita mbele yake hakika hatoweza himili lazima akabizi kapu la sadaka..
Kaka huyu ashafilisika sijui hata Kama anamiliki Bima
 
Ila sister maadam unataka kupiga mpunga tu...Komaa nae huyu huyu ataeleweka tu..Piga vile vimini vyako pita mbele yake hakika hatoweza himili lazima akabizi kapu la sadaka..
Huyu jana aliniambia ni mhonge sadaka, nkamjibu sihongagi, huwa natoa bure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom