Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bila kusahau dedication.
Enzi hizo nyimbo za westlife zilitamba Sana.
Dedication-my love-westlife
Duh kweli maisha yamebadilika
Nakumbuka nikiwa form 5 na amaizing akiwa 4 tulikwaruzana kidogo nikamtumia barua refu sana yenye dedication ya ule wimbo wa Fool Again- Westlife na yeye akanitumia dedicatin ya ule wimbo wa Sorry-Ruben Studdard...Mambo ikaenda sawa nikamtumia ile card ukiifungua inapiga mziki akafurahi mbaya mpaka leo tupo...
 
Kama umeamka salama hebu gonga
"LIKE".

kumbuka tulilala wengi, ila tulio amka ni. wachache.
 
Nakumbuka nikiwa form 5 na amaizing akiwa 4 tulikwaruzana kidogo nikamtumia barua refu sana yenye dedication ya ule wimbo wa Fool Again- Westlife na yeye akanitumia dedicatin ya ule wimbo wa Sorry-Ruben Studdard...Mambo ikaenda sawa nikamtumia ile card ukiifungua inapiga mziki akafurahi mbaya mpaka leo tupo...
Ha haaaa kweli mmetoka mbali na my wiii.
 
choo s.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom