lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Vizuri shem!umeamshwaje?
Vizuri shem!umeamshwaje?
Mimi niko poa kabisa brother.kwema mzee, za kwako?
ok..uwe na siku njema shem.Vizuri shem!
Naww pia shem!ok..uwe na siku njema shem.
Mkuu namshukuru Mungu nimeamka nikiwa fit sana asee...Vp wewe mkuu?Good morning brother.
Ni matumaini yangu kuwa umeamka salama salmin
Mimi niko vizuri kabisa brother.Mkuu namshukuru Mungu nimeamka nikiwa fit sana asee...Vp wewe mkuu?
Morning to you my one and only Sister...I hope umeamka salama kabisa...Na wewe lin utabadili Avatar kutoka kwenye msuko hadi tuone sura yako Dada...By the way mi najua sura yako ilivyo nzuri ila kwa faida ya wengine tu..Morning kaka
Thanx sana my wiiHongera sana wifi
Mi hata mwaka bado![]()

Oh Hallejah kweli nimeamini Mungu ni mwema kila wakati, Kila wakati Mungu ni mwema...Hii ni ishara tosha ya kurudi kwa baba mtumish na iwe kama upendavyo mama mtumish mimi nishaachia baraka zangu zote kwenu..Hujachelewa sana shemeji...ile miguu ya kuku ilinifanya nikazurura sana mpaka mtaani nikaitwa "kiguuna njia"nimeitoa huenda nikatulia nyumbani.
Vizuri sana mkuu...Mia Mia..Mimi niko vizuri kabisa brother.
Mke mwema...Whatsap ma baby girl? Wife leo ni mwendo wa kimarekani tu hapa si unajua vile vitu nimepiga jana vipo kichwani bado...Thanx sana my wii
JF ni sehem ya ukweli na unajifunza mambo mengi
Nakutakia kila LA kher miaka miaaaaa![]()
Poa brother.Vizuri sana mkuu...Mia Mia..
HahaaaaMke mwema...Whatsap ma baby girl? Wife leo ni mwendo wa kimarekani tu hapa si unajua vile vitu nimepiga jana vipo kichwani bado...
my dear Ile kitu sio nzuri kwa afya yetu
Ulifichwa wapiVizuri sana mkuu...Mia Mia..
Tuko poa shemLong tym Shemeji...Mnaendeleaje wewe na Th Name shemeji?
Shemu mambo!Hahaaaamy dear Ile kitu sio nzuri kwa afya yetu
Nadhan tuhamie kilimanjaro twist alcohol mbili tuuu![]()
Unavipiga kama 15 hivi...![]()
NB... Chonde Chonde..................... Noumaaaaa
Hahhahah Wife vile labda niwe naenda Bar na chibuku nivimiminie kama Tisa hivi at per.....U know warry m say....Hahaaaamy dear Ile kitu sio nzuri kwa afya yetu
Nadhan tuhamie kilimanjaro twist alcohol mbili tuuu
Unavipiga kama 15 hivi...
NB... Chonde Chonde..................... Noumaaaaa
Dah mkuu mji umetuficha sana plus Magu alivyobana Point inabid tuongeze speed sana ili tuweze kuish maisha yale tuliyokuwa tumeyazoea..Ulifichwa wapi