Kazi njema mkuuMakapuku tutonana baadae stay blessed
Good morning brother.Good morning Everybody!
Kweli naona nimekuwa mgeni sana hadi shemeji yangu Patience123 amebadili Avatar kutoka mguu wa kuku hadi kito cha thamani....
Raha sanaaaaa![]()
![]()
Rasmi:
Leicester City bingwa mpya
EPL 2015/16
![]()
![]()
![]()
..................
Morning kakaGood morning Everybody!
Kweli naona nimekuwa mgeni sana hadi shemeji yangu Patience123 amebadili Avatar kutoka mguu wa kuku hadi kito cha thamani....
Van Gaal 2 yrs EXCUSESRaha sanaaaaa

Hujachelewa sana shemeji...ile miguu ya kuku ilinifanya nikazurura sana mpaka mtaani nikaitwa "kiguuna njia"nimeitoa huenda nikatulia nyumbani.Good morning Everybody!
Kweli naona nimekuwa mgeni sana hadi shemeji yangu Patience123 amebadili Avatar kutoka mguu wa kuku hadi kito cha thamani....
Missing you sana shemeji,hope amaizing yuko poaGood morning Everybody!
Kweli naona nimekuwa mgeni sana hadi shemeji yangu Patience123 amebadili Avatar kutoka mguu wa kuku hadi kito cha thamani....
duuuh ndomana anaongoza kwa kuachwa humu.Hahaha huyu Youngblood aliachwa na mke kwa ajili ya govinda
He he he he he he ndo maana yakeVan Gaal 2 yrs EXCUSES
Ranieri 9 months CHAMPIONS
![]()
![]()
![]()
...........
umeamshwaje?Wazima sie
Hongera mkuu...miaka mitatu sio haba.Woooowwwwww
Hatimaye nimetimiza mwaka WA Tatu since nimejiunga JF 03/05/2013..
Faida nilizopata JF ni nyingi mno siwah kujuta kuingia humu ndani..
God bless you all
Nawapenda sana rafiki zangu
Happy third anniversary to me![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwema mzee, za kwako?Tuko poa brother habari ya asubuhi.
Van Girl OUTHe he he he he he ndo maana yake